Bondia kutoka Afrika ya Kusini Sibusiso Zingange amemwaga machozi baada ya mpambanowake dhidi ya Ibrahimu Class bondia wa Tanzania , hii ni kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya kushindwa dhidi ya Ibrahim Class na kusika akisema matokeo hayakukuwa na usawa.