المدة الزمنية 1:24

Mgombea urais (ADC) achukua fomu ya uteuzi NEC

بواسطة Azam TV
694 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2020/08/07

Mgombea urais wa Chama cha ADC, Queen Cuthberta Sendiga amejitokeza katika ofisi za Tume ya Uchaguzi maarufu kama #UchaguziHouse jijini Dodoma na kuchukua fomu ya uteuzi wa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho. Akizungumza na #UTV108, Sendiga ambaye ni mwanamke pekee anayegombea nafasi ya urais amesema leo imekuwa siku kubwa kwake na chama cha ADC baada ya kukabidhiwa fomu hizo tayari kwa kipyenga cha #UchaguziMkuu2020 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0