المدة الزمنية 6:11

Mtoto Rehema akiimba Lipo Kusudi kwenye usiku wa Gospel Hip Hop

بواسطة GOSPO TV
51 634 مشاهدة
0
197
تم نشره في 2016/09/05

Rehema Peter Nangawe ni moja ya waimbaji wa muziki wa Injili wenye umri mdogo kabisa kutoka Tanzania,amezaliwa mwaka 2007,hii ni video yake alivyokuwa akiimba kwenye tamasha la usiku wa Gospel Hip Hop ktk kanisa la DMC tabata ,wimbo unaitwa Lipo Kusudi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 30