المدة الزمنية 8:33

Huyu ndiye baba Mzazi wa DIAMOND MAMA DANGOTE afunguka mazito ''Mzee Abdul alikataa Mimba ya Naseeb

بواسطة Simulizi Na Sauti
23 365 مشاهدة
0
403
تم نشره في 2021/01/15

#DiamondPlatnumz #MamaDangote

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 299
  • @
    @khadeejaabdullah7083منذ 3 سنوات Daah
    Ila mzee Abdul shukru mungu kwa kila jambo bora wamekukana ukiwa hai
    36
  • @
    @hamzaalawy6694منذ 3 سنوات harmonaizi ni kiboko wa wasafi, Daimond anakwenda kushuka kimziki na nafasi yake inakwenda kwa konde gang, mama Dangote ameharibu utu wa Daimond. 10
  • @
    @mjasiriamalishupavulailamu7163منذ 3 سنوات Asante mamadangote jamani kumbe nigundua Mimi ninaakili kubwa cikuwahi kutetea guys mzee nikijua kunatatizo lipo dai sipunguani kiasi hicho kutotoa msaada 2
  • @
    @janatahmad7048منذ 3 سنوات njo nasema mue munaacha kuingilia mafamillia ya watu na hamujui cha ndani sasa na huo mama dangote jamani esma kumbe amebeba tabia za mama yake ewe mungu niepushe hiii 11
  • @
    @zainabozainaty6188منذ 3 سنوات Sina hata chakusema dunia iyi inamengi mungu atustiri‍♀️‍♀️ 3
  • @
    @munirashughuli7224منذ 3 سنوات Mrongo huyo mma mbona siku zote hawakusema mmh yote ajuae ni Mungu 2
  • @
    @princess-uf5uxمنذ 3 سنوات Mama Diamond alikuw mdangaji ndoman asma anachezewa 30
  • @
    @khamoshmikidadi9262منذ 3 سنوات Sasa miaka yote iyo kwnn asiseme ukwel mpk diamond anatumia jina l mzee abdul n watt wake wote wanatumia jina la babu yao abdul uyo mama muongo mtu akatae mimba hlf awe baba mlezi 6
  • @
    @user-xi1pi4zr3bمنذ 3 سنوات Wa 1.Nakubali Sns nlikua naisubiri hii ishu..Mama kakaa kimya sku zote 1
  • @
    @aaa64sa13منذ 3 سنوات Mtihani Wallah. Siku zote Siri ya Mtoto anaijuwa Mama. Waweza mkumlea mtoto asie wako mpaka siku zako za mwisho bila kujuwa. Mama zetu wamebeba siri nzito kwa watoto wao. Allah atustiri inshaAllah 16
  • @
    @sidisafari8712منذ 3 سنوات Jamanii basi mbona huyu mama hakueka wazi toka kitambo hili jambo jamani haki naumia kama mzazi wakike 1
  • @
    @meshackngaboss1236منذ 3 سنوات ILA hii habari sio mpya imewahi kuandikwa na gazeti la ijumaa mwaka 2012 na walimtaja huyu mzee kwamba ndio baba yake na sio mzee Abdul 2
  • @
    @fatmamdigo1848منذ 3 سنوات Mama umechanganya na harmonize kweli.WAPO.. 1
  • @
    @hustlerhustler4309منذ 3 سنوات Situkani, ila mwanamke n mtu mwingne cjui kama nn, yaani waeza zaa nae watoto kumi kumbe wote niwa nje tu alafu ww unabakia kuwa baba mlezi 3
  • @
    @neemayatosha1618منذ 3 سنوات Hii situation natamani Masoud Kipanya aichore 2
  • @
    @bigbossmanbossman6946منذ 3 سنوات Nimepata funzo hapa usilee mtoto wa mkeo. 3
  • @
    @nengajuma972منذ 3 سنوات Huy haone aibu kila xik kupewa mabab weng huna bab kam kuku 4
  • @
    @jabalimikechi7750منذ 3 سنوات Come on guys how come . mtu akatae mimba kisha akubali kuwa stepfather , this doesn't make any sense . 9
  • @
    @Alikuku8منذ 3 سنوات Kama alikata mimba mbona alimpa diamond Jina ya Abdul hii ni kiki 24
  • @
    @mako331منذ 3 سنوات Mzee Abdul anakaa alikuwa mtu wa viwanja sana huku dogo na mama wakisota Aisee
  • @
    @episawaki3240منذ 3 سنوات Haya mambooooo mmmmh mm mwanamke ilaa dah tunasiri kubwaaaa ambazooo mmmmh 1
  • @
    @mariamibrahim3162منذ 3 سنوات Duuu ila sio vizuri mm sikupenda kweli aya mambo wangemaliza tuu kifamilia kuliko kutupa faida as inauma haki 8
  • @
    @rodneyexavery311منذ 3 سنوات Umefanya vyema kuongea ya moyoni Mama dangote mi nimekuelewa xanaa, chukua hatua ya kuuelewa ukweli tu hakuna namna
  • @
    @jassonnelly3445منذ 3 سنوات Acha na mwanamke bana hawa watu wanaweza beba siri nzito sana siku ukitibua tu maji utayanywa 5
  • @
    @paidenasra4548منذ 3 سنوات Mungu amlinde uyu mze ayo ni zaidi ya manyanyaso. Sandra ni roho mbaya sana, ni uwongo mtupu ndani yake, mbona mda wote hu ajasema ivo. Mungu atawalipa ubaya wenu. 4
  • @
    @bojobojoni6247منذ 3 سنوات Akili ya huyu mama anajua yeye mwenyewe
    Ila ni songi la hatari sn!!
    Mpaka watu wanapoteana
    26
  • @
    @saidachimmy8074منذ 3 سنوات Uyu mma asituchanganye kma alikataa mimba mkawa hampo pamoja mbon picha zipo zinazoonyesh mzee abduli ,mma dangot na nasibu wapo p1 nanasibu kakubwa tu 4
  • @
    @scollapatric8342منذ 3 سنوات Duh hy yote nijeuri yapesa tu mama mshezi kwel huyu
  • @
    @davidndaha9607منذ 3 سنوات Ukweli unauma sana lazima waambiane ukweli mapema.
  • @
    @ashuramuhinde9954منذ 3 سنوات Kwanini ampe jina la nasibu abduli kama alijuwa siyo baba mzazi 1
  • @
    @barrysulty1756منذ 3 سنوات Waende wakapime DNA musituzengue musimuogope huyo mama waende wakapime, m2 akatae mimba alafu aje alee mtoto haingii akilini, mbona hujatumia jina la huyo babake mzazi! 2
  • @
    @ibrahim10chimah64منذ 3 سنوات Harmonize kalivuruga wameanza kutafutana 34
  • @
    @mwanahamisihussein4935منذ 3 سنوات Huyo baba hana faida kashatangulia mbele ya hakii, mbona hukusema angali yupo hai
  • @
    @taraagire6176منذ 3 سنوات No, wander diamond was so cool toward Abdul juma! I hope harmonize and the others who were saying eti diamond was not helping but Abdull did help id="hidden9" class="buttons">him from before! That why people should not talk about family’s u never inside ....وسعت
  • @
    @neemakaluwa1841منذ 3 سنوات Jmn! Kweli!!
    Au ndo mnatuzima ya
    Mswiza na dada!!???
    1
  • @
    @fatmasalum3259منذ 3 سنوات Pesa jamani inawachanganya watu mpaka baba Leo hii hiitwa mlezi kisa wimbo aliyo utoa hamonzinz mtihani mzito huu jaman kesho mama danhote hayupo Mali nani atarithi mhitani huu
  • @
    @peterjackson9598منذ 3 سنوات Nitashangaa sana vijana wakilalamikia ajira wakati ukiunganisha story nzina kutoka kila pande kitabu chenye page 309 au 500 kina andikika kabisa ela ya id="hidden11" class="buttons"> mauzo unapata safi bila jasho tena kikazi zaidi unaandika kwa lugha mbali ili uteke na soko la nnje waandishi mpo? ....وسعت
  • @
    @aminakupila3079منذ 3 سنوات Mi Ndio maana naangalia SnS hapa wanauruma na hekima na wanautu nakufata sheria za nchi namaadili yetu
  • @
    @saumuimeda5181منذ 3 سنوات Hawana jipyaa hao wanakwepa bomu la harmonize tu sabb kasema ukwel 6
  • @
    @christophermahawi4920منذ 3 سنوات Sasa kwanini ulitumia jina la “Abdul” we mama?
  • @
    @aminakupila3079منذ 3 سنوات Mhh Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote.Kwaiy kwakua wamefungiwa ndio wameanzia kutoa Siri za ndani ili Redioni na YouTube wapate hela kwe id="hidden12" class="buttons">li mtu anaejishaua akikosa helahuwa wanatumia njia zote walivyofungiwa kwa ujinga wa mtu 1mpenda pesa hadi anavaaa uchi wao dunia ikasimama na toka jana dunia imesimama inamuingizia (D na kampuni) pesa za kuwa kila wafanyakazi mshahara ....وسعت
  • @
    @maloomaalmnsj5111منذ 3 سنوات Mmh mnafosi kufanana daimondi nyangee hahahahahaha mapya aya
  • @
    @nooraka4000منذ 3 سنوات Hii familia nkifa ntaimic sana nakiwa kaburinmaana imenshinda tabia 8
  • @
    @everlineeverline105منذ 3 سنوات Na Mbona hakuenda kuishi naye huyu nyanje juu mimba iliua yake?mbona kazalia kwa mzee abdul na mwenye mimba alikua.huyu mama dangote alikua mdangaji mkuu.formular yake ilikua 10%. 1
  • @
    @halimamohamed1113منذ 3 سنوات mzee anaekulea ndio muhimu kuliko biological sawa na kuambiwa kubeba mimba sio kazi kulea 2
  • @
    @nadrahassan5241منذ 3 سنوات Wanajisafisha ili watu waone kama wanahaki kutomsaidia baba yake 3
  • @
    @babylonyNgwembeمنذ 3 سنوات SASA WAMBEA TAFUTENI NJIA NYINGINE YA KUMUUMIZA DIAMOND BUT PLAN A IMESHAFELI. 2
  • @
    @iucykalondu5559منذ 3 سنوات Uyo mzee Abdul anafanana na diamond kabisa no need ya DNA ata 1
  • @
    @maryamm7765منذ 3 سنوات Kwamaana hiyo ukoo wanaupunguza? kwini sio ndugu yao mmmh
  • @
    @charlesmajiwa6771منذ 3 سنوات Mbona watu wengi wanalea watoto co wao, akina mama ndo wanajua baba wa kweli. Miaka yote alikuwa wapi huyu mzee abdul mpk chibu kafanikiwa ndo anajitokeza. id="hidden14" class="buttons"> Anataka kuingia wasafi tu aimbe lkn akitolewa nje ndo anaanza kulialia ati anateseka. Tangu awakimbie mama dangote na mwanae alikuwa akiishi vp mpk leo hii ndo aanze kuteseka. Jamani tusiingilie maisha ya watu na kusema chibu anamtekeleza babake bila kujua yalio nyuma ya pazia ....وسعت
  • @
    @lavieestbelle3263منذ 3 سنوات Jamani tuache unafki huyo picha ya huyo baba anafanana na daimondi kabisa.ila hii familia pia inamatatizo hata kama mzee Abdul nibbaa wa kufikia wanapaswa wamuheshimu na kumsaidia
  • @
    @zakyahya4645منذ 3 سنوات Ila Nyange ni kweli kafanana na diamond numetizama Mara zote na uyu mama alikua ni mdangaji tu na alimpa mzee Abdully mimba kwa sababu ya kupata tonge tu uyu mama ana laana sio ndogo
  • @
    @user-ot2io4cy6wمنذ 3 سنوات Duuuh.!!!
    Huyu Mzee Nyange ni Copy halisi ya DIAMOND yan hapo hakuna haja ya kubisha ni yeye jaman
  • @
    @lilianmyenda6331منذ 3 سنوات Mimi huzuni yangu ni kwa mondi
    Sarakasi zote hata uwe mtu mzima kiasi gani, maumivu hayana umri
  • @
    @mbembelatvمنذ 3 سنوات Ngoja nika turn on notification kwa mange 4
  • @
    @najma3268منذ 3 سنوات Nimeshangaa Na mimi, sema mama ndo anajua mtoto wa nani 7
  • @
    @MosonVevoمنذ 3 سنوات hii ndio shida ya kuwa na vita na mjomba nchumali.
    Na bado
    Kombolela inawahusu na sjui kama mtapatana
    Ngoja mi nikajifiche
  • @
    @sultanadam5529منذ 3 سنوات Alikataaje mimba na bado akakua baba mzazi kivipi mbona siwaelewi naomba munifahamishe
  • @
    @misrahmisrah8761منذ 3 سنوات Bi Sandra anamtafutia diamond lana hata kama diamond sio baba lakini aweke heshima wasimpe chochote huyo baba mlezi lakini wampe Heshima. Huyu mama atakuwa amelewa si bure. 6
  • @
    @leilaachmed9271منذ 3 سنوات Kila siku ni matatizo familia hii hawaoni aibu 1
  • @
    @muanashaswaleh5110منذ 3 سنوات Sasa ili jina lakumuita mtoto nasibu Abdull juma ilikua ya nini
  • @
    @shabanialfani5394منذ 3 سنوات Mimi nimshauri Anko Shamte kuwa ukiona mwenzio ananyolewa zako tia Maji huyo mwanamke ameonekana hana nidhamu hivyo tumia Msingi Kiuno kupiga Mafungu mapema id="hidden19" class="buttons"> na ikiwezekana ukimpiga vyuma kuwa unamrekodi ili siku akikutema na akataka kukudhalilisha uwe na kinga mapema. Siunaona Mwinjaku alivyomfanyia Menina? Jifunze hapo Ankooooo ....وسعت
  • @
    @mariamhassan1723منذ 3 سنوات Mpaka kichwa cha niuma kwa familia isonihusu 4
  • @
    @aminamussahmsumuka6558منذ 3 سنوات Ila hata kama sio mwanae haikuwa na haja ya kumuanika mitandaoni wangeyamaliza kimya khaah huyu mama kichomi kweli kapost mpaka picha INA maana alimbambikia mimba
  • @
    @nahayohamza7090منذ 3 سنوات Uyo maman ni shetani hana akili kweli kwani kusema aongeye hayo yote hajuwi kama anajishushia heshima ila njo familia ilivyo lana tuuupu 4
  • @
    @hassanbaraza1165منذ 3 سنوات Mmmmmh hyo baba mpya hata hajafanana na Diamond 1
  • @
    @bimumaulid1171منذ 3 سنوات NI KWELI KAFANANA NAE KWA NINI ASITUMIE JINA LAKE