المدة الزمنية 35:45

TAZAMA BIBI ANAE LEA WATOTO 28 ALIVYO ULAANI UMASIKINI

بواسطة SERENGETI TV
1 166 مشاهدة
0
35
تم نشره في 2021/11/22

BIoke Mwita Chacha Bailinsenga Nimkazi wa matale serengeti akiwa na umri wa miaka 68 mama huyu wazazi wake walifariki miaka ya nyuma huku mama yake akiwa na uraia wa iraqi jambo ambalolilimfanya mama huyo kukosa ndugu wa upande wa mama kwakuwa aliletwa na baba yake kipindi cha vita miaka hiyooo. lakini kabla ya kufariki wazazi wao waliwaachia mali nyingi ila kwa sasa familia yao imesambaratika kwakuwa wenginewamepoteza maisha kwa sababu mbalimbali na sasahivi analea wototo 28 .fuatilia story nzima#safari yangu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5