@ComtomYgHusseinHusseinlast monthAssalam aleikum mwalimu babu hajji kwahisani yako kama nithakuwa nnakukosea naomba unisame alikuwa naomba Sura za kusomea pete zangu kuwa na majambo pete nyekundu pacha msikiti na blue bahari hizi niza Tiba nakuomba unisaidie ni Sura gani ama nikisomo gani unisaidie mwalimu wangu inshallah Allah akuzidishie mwalimu wangu ...1
@
@pauljackson81203 years agodk sijakuelewa pilipili unaweka kwenye nyanya 1
@
@annabelwangila98822 years agoBabu nimekuskiliza vizuri sana lakini naomba nikuulize?mimi ni mke wa pili,na mume bado anatoka inje hivi naweza kumfunga mimi? 2
@
@saidisalanda17203 years agoSwali langu ni mwili kufa ganzi na namna yakutoa hiyo ganzi 2
@
@benardayiendaondari49172 years agoHi Mimi Niko Nairobi Kenya, nawezaje kukupata 1
@
@draye33573 years agoJe wakati wa kukaa liadha na kitabu chekundu, Yaan mda wa kukipa nguvu hua kunahitajika Mishumaa na sako?
@
@liberatusmwesiga85953 years agoBabu nahitaji dawa ya Biashara ambayo itanileteha wateja wengi 2
@
@amurirams83353 years agoBabu, sisi tuko mbali tutapaje vitabu ??? 1
@
@zaynulkhatamiiy20233 years agoJinsi ya kuita khadimu wa kumtuma akuletee pesa unafanyaje??? 1
Yaan mda wa kukipa nguvu hua kunahitajika Mishumaa na sako?