المدة الزمنية 6:45

EPUKA MAKOSA HAYA 6 KAMA UNATAKA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA/BIASHARA MWAKA 2022

بواسطة G Online
5 645 مشاهدة
0
45
تم نشره في 2021/12/09

Mafanikio ni neno nzuri kulisikia kwenye masikio yetu. Wengi wanatamani kuwa na mafanikio, na wengi wamekuwa kuyasogelea, lakini wachache ambao wanakuwa willing kufanya yatakayo wafanya wafanikiwe. Mafanikio hayajali nini unawewish, laiti kama wote wangefanya wanayayo wish basi kila mtu angefanikiwa..Kama unataka kufikia malengo, ndoto na kufanikiwa, epuka makossa haya 6. 1.Uoga wa Kufeli/Fear of Failure 2. Kutotaka Kujifunza/Ignorance 3. Kukosa Ujasiri/Lack of Courage 4. Kukosa Kusudio/Lack of Purpose 5. /Kukosa Uvumilivu/Lack of Persistence 6. Kuwa na Watu/Marafiki Hasi/Surrounding themselves with Negative People Kuwa na Mafanikio na kuwa karibu kuwa unayetaka kuwa, hauitaji kuongeza vitu vingi – Unahitaji kupunguza baadhi ya vitu. Vitu ambavyo vitakufanya kufikia mafanikio kama ukiachana navyo. Japokuwa kila moja wetu anamaana tofauti ya MAFANIKIO. 🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa/ 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡MIMI SIWEZI/NI NGUMU SANA/MAFANIKIO NI KWA WALIOKUWA NA BAHATI TU 👉/watch/w29NWxfvwTyvN ⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉/watch/0DtvsaPSehVSv ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉/watch/Ux-K_xwrNK8rK ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 /watch/4dNcHRy3fXF3c ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx #Epukamakosahaya2022 #kufanikiwamaishaaubiashara #Mafanikio

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6