Fabievents ni mfumo ambao unasaidia katika maandalizi ya sherehe kama Harusi, Sendoff , Kitchen Party na nyinginezo kupitia online.
Mambo makubwa na mazuri utayapata ndani ya Fabievents.
• Bajeti :- Inarahisisha kuanda bajeti ya sherehe huna haja yakumiza kichwa na mahesabu au kutumia kikokotozi.
• Ujumbe :- Automated bulksms inawakumbusha wajumbe vikao na michango, ujumbe unaenda na jina la mpokeaji. Pia nakulingana na matumizi yako marangapi kwa wiki.
• Ahadi :- Inasaidia kuweka taarifa za wote pamoja na kila mjumbe kiasi gani alichoahidi, alicholipa na balance yake.
• Kadi :- Inasaidia kujua nani nan ani anastahili kupewa kadi ya single au double ama hana sifa kulingana na mchango wake aliotoa.
• Watoa huduma za sherehe :- kama MC,kumbi, mapambo, keki, chakula, picha na video wote wanaruhusiwa kujitangaza free
Fungua account yako hapa
https://www.fabievent.com/Sign_uphttps://www.fabievent.com
Soma zaidi kuifahamu FabiEvents
https://www.fabievent.com/News/p/ZIJUE-MBINU-ZA-KUFANYA-KABLA-YA-KIKAO-CHA-KWANZA-CHA-HARUSI-YAKOhttps://www.fabievent.com/News/p/FABIEVENTS-NI-NINIhttps://www.fabievent.com/News/p/AUTOMATED-WEDDING-BULKSMS
0714 569 149
info@fabievent.com