المدة الزمنية 9:52

Jinsi Ya Kuwa Na Furaha Kila Siku - Joel Nanauka

بواسطة Joel Nanauka
53 701 مشاهدة
0
932
تم نشره في 2019/05/23

Kila Siku Utakutana Na Mambo Yanayoweza Kuondoa Furaha Katika Maisha Yako,Kuna Uhusiano Mkubwa Sana Kati Ya Mtu Mwenye Furaha Na Kua Na Ufanisi Katika Shughuli Zake.Mambo Manne (4) Unavoweza Kufanya Kuweza Kupata Furaha Kila Siku:- 1.Kuimarika Kihisia ( Emotional Stable ) 2.Kujitafuta Kwa Upya (Identity Re-engineering) 3.Kuwa Mtu Unaendelea(Be On The Move) 4.Simamia Uancho Kiamini (Stand On What You Believe) Je Nikweli Kati Ya Hayo Maeneo Manne Unadhani Ni Wapi Unaona Unaweza Kupata Au Kukosa Furaha Katika Maisha Yako.Niandikie Hapa Chiini Tushauriane. #SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako#SeeYouAtTheTop

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 176