المدة الزمنية 7:2

UPENDO WA MUNGU KWAYA KATOLIKI TANZANIA OFFICIAL MV | KWAYA MPYA 2022 | DADY PRODUCTIONS

بواسطة DADY PRODUCTIONS
33 639 مشاهدة
0
228
تم نشره في 2022/09/03

Kwaya ya Mtakatifu Maria wa Fatima kutoka Kigango cha Nyamboge - Parokia ya Nzera jimbo katoliki la Geita wanapenda kukukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaoitwa "Upendo wa Mungu" utunzi wake Baraka Thomas Mashibe, ukiwa ni miongoni wa nyimbo zilizomo katika album yao mpya inayoitwa "Mtumaini Mungu" itakayozinduliwa hivi karibuni. Karibuni nyote tusikilize na kutazama Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS _Sound Engineer: Dady Rutta _Video Shot & Directed By Dady Rutta Contact DADY Productions for booking dadyrutta88@gmail.com +255 745 260 131/+255 715 068 534 Get more videos from DADY Productions TWAJA KUKUSHUKURU /watch/cilCLby_89R_C MBEBA MIUJIZA /watch/oFWjh5jSlgySj WEMA WA MUNGU /watch/ocbqtilcDUScq #dadyproductions #kwayakatoliki #kwayampya2022

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 53