المدة الزمنية 6:35

Muhudumu wa Bar aliyeimba mbele ya Waziri, hajaamini kilichotokea

بواسطة Millard Ayo
1 126 662 مشاهدة
0
4.6 K
تم نشره في 2016/11/23

Wanasema hakuna aijuae kesho, Ben ni kijana anaeamini anachokipaji cha kuimba lakini shida ilikua ni pa kutokea hivyo ikabidi ahamie Dar es salaam kutokea Arusha Cha kwanza alichofanya ni kuomba kazi ya Uhudumu Escape One, kiwanja ambacho alishasikia akiwa Arusha kwamba huwa Watu mbalimbali maarufu na Wadau wa muziki anaoamini wanaweza kumsaidia huwa wanahudhuria mara kwa mara Hakujua kwamba usiku wa November 19 2016 ungekua wa tofauti kwake, tazama hii video

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 395