المدة الزمنية 37:26

Nyimbo za Tenzi za Rohoni - Swahili Christian Song Collection

30 865 مشاهدة
0
238
تم نشره في 2020/01/28

Bwana Yesu ambaye tumekuwa tukitamani amerejea! Je, unataka kujua kuonekana kwa Mungu na kazi Yake katika siku za mwisho? Unataka kupata wokovu wa siku za mwisho wa Mungu? Jihisi huru kuwasiliana nasi. WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254-700-427-192 Nyimbo za Tenzi za Rohoni - Swahili Christian Song Collection 【00:00:00】Upendo Safi Bila Dosari 【00:04:28】Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa 【00:08:21】Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa 【00:12:22】Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu 【00:16:03】Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu 【00:19:43】Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake 【00:23:22】Umuhumi wa Maombi 【00:26:38】Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu 【00:30:04】Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee 【00:34:16】Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu Ni Kumwokoa Binadamu Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: http://bit.ly/2WHrvj2 App store: https://apple.co/2ZEE29d Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org Wasiliana Nasi: +254-700-427-192 Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Tunaheshimu haki za uvumbuzi za watu wengine. Ukishuku kwamba maudhui yoyote tunayotoa yanaingilia haki zako za uvumbuzi au za mtu mwingine, tafadhali tujulishe mara moja, na utoe ushahidi ulioandikwa wa kweli na wenye sababu thabiti. Tutathibitisha madai yako na kuyashughulikia ipasavyo kwa wakati unaofaa. Tafadhali tuma stakabadhi zozote husika kwa copyright@kingdomsalvation.org. #swahiligospel #Injili #kikristo #gospel #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #ZambianGospel #MwenyeziMungu #KanisalaMwenyeziMungu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 7