المدة الزمنية 14:54

MILLARD AYO na SIMULIZI YA MUUZA KARANGA Mwenye NDOTO YA KUWA RUBANI

بواسطة Global TV Online
12 729 مشاهدة
0
129
تم نشره في 2020/02/11

MILLARD AYO na SIMULIZI YA MUUZA KARANGA Mwenye NDOTO YA KUWA RUBANI Miongoni mwa watu maarufu walioalikwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) katika kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mtandao ni pamoja na mtangazaji, Millard Ayo, ambaye amezungumza na wanafunzi na kuwapa njia ya kuitumia kwa usahihi mitandao UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 21
  • @
    @dicksonsheja2514 years ago Kukiwa na watu 50 wenye maono kama MILAD Ayo vijana wengi watatusua big up sana 7
  • @
    @livinstonestone884 years ago Thank you bro...nimejifunza k2 kaka ...i. Wish ungekua kaka yangu: 3
  • @
    @niaanthony95884 years ago Thanks so much nimejifunza kitu allahmdullilah
  • @
    @jessydaktari52094 years ago Big up nasent....all the best kwenye ndoto yako
  • @
    @emmanuelluoga97484 years ago dah mfano unahitaji kufanya biashara ndogondogo inabidi izingatie mambo gani
    ushauri wako
    1
  • @
    @dinatalibmohamed55234 years ago dah nimejifunza kitu ukitia nia Mungu anakusaidia 3
  • @
    @faridamahamy36004 years ago Samhn,mm naomb kjua zaid kuhusu kuuza bidhaa kwa kuptia mtandao wa WhatsApp,na mm nna ndoto ya kukiendleza zaidi kipaji changu cha ushonaji lakn cielew wap pakuanzia,lakn nkitathmin naona kuptia kpaj chang cha ushonaj nawez kufankiw,lakn nkiwaelez watu wa karbu wenyew wananikatsha tamaa,tafadhl naomb kjua kuhs kuuz bidhaa kptia mtandao wa WhatsApp. ...