المدة الزمنية 5:6

Taharuki uwanja wa ndege KIA

بواسطة Mwananchi Digital
1 639 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2021/11/04

Abiria kutoka Mataifa mbalimbali waliokuwa wakisafiri katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) wamekumbwa na taharuki na kujikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kupewa taarifa ya tishio la mlipuko wa bomu kwenye uwanja huo. Hali hiyo ambayo ilidumu kwa muda wa saa moja iliwaweka njia panda wasafiri hao huku wanawake ambao walikuwa na watoto wakilazimika kubeba watoto wao na kukimbia mbio wakihofia usalama wa maisha yao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3