المدة الزمنية 2:19

UFUGAJI WA SAMAKI Tanzania.jua mambo 5 muhimu ya kuzingatia ili KUFUGA SAMAKI KWA TIJA

بواسطة Shamba Darasa TV
861 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2021/12/01

UFUGAJI WA SAMAKI mambo muhimu mabwawa bora,mbegu bora ya samaki na chakula bora cha samaki Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe. Aina ya bwawa la kufugia samaki. Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea "Earthen Pond" ambalo litakuwepo mahali ambapo udongo unaruhusu kutuwamisha maji. Mara nyingi kuta zake hushindiliwa na kupandwa nyasi ili kupunguza nguvu ya maji kasababisha mmomonyoko wa udongo. Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea "Earthen Pond" ambalo litakuwepo mahali ambapo udongo hauruhusu kutuwamisha maji, litatandikwa Karatasi la "Nylon"/"Polythene sheet" ili kuzuia maji yasipotee ardhini. Bwawa la kuchimba udongo na kujengea kwa Matofali, Cementi na Zege; Kwenda chini ya ardhi "Earthern concrete pond" Kwenda juu ya ardhi "Raised Conrete Pond" Ujenzi wa Bwawa la kufugia samaki Tanzania Uchimbaji na ujenzi wa bwawa la samaki Tanzania UTAYARISHAJI WA BWAWA LA KUFUGIA SAMAKI UFUGAJI BORA WA SAMAKI GHARAMA YA BWAWA LA SAMAKI KWA TOFARI UFUGAJI SAMAKI KISASA BWAWA LA SAMAKI LILILOJENGWA KWA MABANZI LIKIWA LIMESHAWEKWA MAJI TAYARI KUPOKEA AINA ZA MABWAWA YA KUFUGIA SAMAKI ufugaji wa samaki kwa mtaji mdogo ufugaji wa samaki kwa mtaji mdogo ufugaji wa samaki aina ya sato pdf ufugaji wa samaki aina ya kambale chakula cha samaki ufugaji wa samaki jamii forum ufugaji wa samaki katika eneo dogo sato samaki in english #mkulimasmart #shambadarasa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2