المدة الزمنية 34:44

LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AKI WAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIO WATEUA, IKULU CHAMWINO

بواسطة Ikulu Tanzania
129 913 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2020/05/20

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 may 2020 ana waapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni , wanao apishwa ni 1. Dr. Godwin Oloyce Mollel kua Naibu waziri wa wizara ya Afya 2.Dr. Delphine Diocles Mgere kuwa katibu tawala mkoa wa pwani 3.Dr. Jacob Gideon Kingu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Algeria 4.Balozi mteule Phaustin Martin Kasike kuwa balozi wa Tanzania nchini msumbiji 5. Balozi mteule John Stephen Simbachawene kuwa balozi wa Tanzania nchini Kenya 6.Brig. John Julius Mbungo kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya kupamabana na rushwa TAKUKURU. Hafla hii inafanyika ikulu ya Chamwino Dodoma

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 545
  • @
    @ausmsuya3335منذ 4 سنوات Thanks Sana Mr President may Almighty God guide you, give you healthy and safety.
    Indeed Almighty God is with us
    Stay safe please for our Success
    17
  • @
    @partohmsee5992منذ 4 سنوات God bless Your JPM! Your Bright leader and Uhuru should copy you and allow Kenyans hustle while keeping social distance and adhering to safe measures. 13
  • @
    @partohmsee5992منذ 4 سنوات Nani alisema mkenya awezi pata like Kwa Tanzania!..Mungu Akubariki milele daima JPM 67
  • @
    @bercahot152منذ 4 سنوات We must believe in this blood!!
    Appreciated
    11
  • @
    @amazingvideomixtv4232منذ 4 سنوات Uyu ndio rais wetu apa akuna cha nani wala nan gonga like twende sawa 51
  • @
    @rajabukhalfan3026منذ 4 سنوات We will always appreciate our lovely President JPM he is a hero who believes in what he Do and if possible he would lead our country for the rest of his id="hidden3" class="buttons"> life.. if things going well in the country why to change another president who we don't know.. Magufuli is a really Patriot. ....وسعت 21
  • @
    @kofiakon2020منذ 4 سنوات If every president in Ghana can learn this from this video we can just move forward with light of building our country without limitation.
    This id="hidden4" class="buttons"> is the president who listen to everyone in the country in the lime light.
    He has come to serve his nation and continent without restriction or selfish interest.
    ....وسعت 30
  • @
    @faizabbas2690منذ 4 سنوات RAISI MAGUFULI TUNAKUOMBA UKUWE RAISI WETU WA KENYA..
    MM N MKENYA LAKINI MAGUFULI NATAKA AKUWE RAISI WETU WA KENYA..NAOMBA LIKES ZENU WATANZANIA.
    154
  • @
    @f.a6043منذ 4 سنوات YES IN GOD WE TRUST!
    GOD BLESS YOU Dr. JPM
    4
  • @
    @omarshariff8266منذ 4 سنوات mimi mkenya lakini wenzangu watanzania nawasihi huyu rais wenu mpeni heshima yake na muithamini sana hii ni bahati yenu musiidharau mukaja jijutia 84
  • @
    @khamismole3679منذ 4 سنوات If this government could be in Kenya surely we could live a peacefully life 15
  • @
    @raphaellyela4217منذ 4 سنوات Again, MY PRESIDENT ON TIME, A MAN ON SEASON 11
  • @
    @dicksonrigha7588منذ 4 سنوات Mimi ni mkenya, ila kwa kweli makufuli ni mwanaume ni kiongozi wa kuigwa, congratulations praying for you sir. 52
  • @
    @partohmsee5992منذ 4 سنوات Live long JPM And Be Blessed Abundantly 6
  • @
    @abellmainge1023منذ 4 سنوات Corona Tanzania pita kuleeeee.! gonga like twende pamoja kuchapa kazi
    35
  • @
    @wilonjahatua2067منذ 4 سنوات Kama kweli mh rais magufuli anatumika vyema ungana nami hapa 21
  • @
    @sempaprudence9052منذ 4 سنوات My President am proud of you the was you are discharging your responsibilities in a humble approach. My prayer you lead us for the next 20 yrs or else you propose a dedicate President as you do. May GOD bless you
  • @
    @tugesyegemwakatumbula9857منذ 4 سنوات Wakenya mnamtamani rais wetu tuungane basi kumuombea ili anavyo fanya Mambo mazuri na viongozi wenu waige kutoka kwake 42
  • @
    @avax5717منذ 4 سنوات I am proud to have such man as my president 1
  • @
    @masigomhoja5182منذ 4 سنوات Baba yetu mwenyewe uyoo tunakupenda sana Raisi wetu..weka like kwa JPM pia 2020 ni JPM tena 34
  • @
    @khamismole3679منذ 4 سنوات May God bless you Magufuli,not like other leaders their names sounds freedom but they don't care their people they are all after their stomach 3
  • @
    @partohmsee5992منذ 4 سنوات Nani mwingine anasema Heri magufuli milele.Hit the like Button Twende sawa 48
  • @
    @africayetutv329منذ 4 سنوات This is our beloved president Magufuli the man of God's power, Tanzania oyeeee 7
  • @
    @elkpddos1781منذ 4 سنوات Proud of him,that is my presedent magufuli no doubt he is the man salute you my lovely presedent spoken true let's work brothers and sisters in our country what ever in case we will die
  • @
    @faizabbas2690منذ 4 سنوات MAGUFULI WEWE UNAFAA UKUWE RAISI WETU WA KENYA TUTAKUPA KURA ZETU ZOTE .GONGA LIKES WATANZANIA NAWAPENDA SANAA WATZ .ONE LOVE FROM KENYA 66
  • @
    @mwesigwakabyemela6112منذ 4 سنوات God bless our president John Pombe Joseph Magufuli 2
  • @
    @mashashijumanne4791منذ 4 سنوات What a wonderful President! Hakika JPM n chuma cha pua! Mungu akubariki na akulinde zaidi mh Rais 17
  • @
    @nyacherimramba595منذ 4 سنوات Wale wa Singida wenzangu, ebu naombeni like zenu leo jmn 38
  • @
    @felisterchimtunga7011منذ 4 سنوات I love you mh rais ❤❤❤❤ mungu akupe maisha marefu hiyo ndo dua yangu ya kila cku 26
  • @
    @robertambrose1231منذ 4 سنوات No Korona Tanzania MUNGU mbaliki magufuri Sana Tena mwakani tumrudishe ikulu Kama unakubari gonga like 53
  • @
    @partohmsee5992منذ 4 سنوات Barikiwa sana JPM Akuna Kiongozi mngwana kama wewe Mungu akulinde mchana na Usiku 17
  • @
    @lubadila359منذ 4 سنوات Mm naona magufuli katumwa na mungu maana sio kwa kazi nzr kama hii. 45
  • @
    @wilonjahatua2067منذ 4 سنوات Kama unamkubali rais magufuli acha majungu na uoga gonga like yako hapa please 26
  • @
    @sameermilo2492منذ 4 سنوات Well done Mr President . Mungu akubariki sana .. ❤️ 17
  • @
    @isayalaizer9993منذ 4 سنوات Baba yetu mwenyewe uyoo tunakupnda sana Raisi wetu..weka like kwa JPM 94
  • @
    @partohmsee5992منذ 4 سنوات KENYA JAMENI TULIKOSEA WAPI.MAGUFULI KUJA URIDHI KENYA NDIPOSA TUOKOLEWE! KAMA WEWE NI MKENYA NA UNAKUBALIANA NAMI GONGA LIKE TWENDE SAWA 27
  • @
    @sylvesterraymond9371منذ 4 سنوات Napenda kunukuu maneno ya muheshimiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kuwa "Mwanamke hupewa hongera na Mwanaume hupewa pongezi(kongore). id="hidden8" class="buttons"> Namimi napenda kutoa pongezi zangu kwa muheshimiwa raisi kwa kulitanguliza taifa mbele pamoja na wananchi wake.Mungu akulinde na akupe afya njema ....وسعت 10
  • @
    @partohmsee5992منذ 4 سنوات Kama wewe ni Mkenya na Umependa wazo la JPM Tujuane Kwa Likes!! 39
  • @
    @gracemwaipopo3209منذ 4 سنوات Nakupenda rais wangu, nakuombea saana, natambua unakutana na magumu mengi coz unasimamia ukweli, songa mbele 16
  • @
    @saidomar6806منذ 4 سنوات Najivunia kuwa Mtanzania, nchi ambayo Inaongozwa vyema na Rais wenye upendo huruma na watetez wa wananchi na wanyonge, Ubarikiwe Mh Rais Magufuli kw kaz nzur unayoifanya ⭐ 7
  • @
    @dafrozachalukula9745منذ 4 سنوات Dr. Rehema chimbi RC nakupenda sana, Mungu akuongoze mama!! 6
  • @
    @abuuanwar0076منذ 4 سنوات Magufuli Oyeee, piga kazi Baba. Sisi wa Kenya tunakupenda Sana. Ukimaliza huko uje na huku kwetu. 8
  • @
    @ernestmpompo4637منذ 4 سنوات Jamani hichi chuma kisiondoke mapema madarakani Mana si kwa furaha hi tuliyonayo watanzania 32
  • @
    @PharmacyProfessionمنذ 4 سنوات We always appreciate you Mr. President. 24
  • @
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceGمنذ 4 سنوات Mwamba Chuma, miaka 100 Mungu azidi kukubaliki 6
  • @
    @upendohalisi80منذ 4 سنوات Hebu dereva wangu wewe unakolona eti, hahaaa hii nimeipenda, hatuna corona sisi watz tupo vizuri aise na tunaakiri nyingi sana na tunapendwa na Mungu Baba. 17
  • @
    @ramadhanichaulembo1329منذ 4 سنوات kingozi shupavu mungu akirinde daima raisi wa dunia zima 17
  • @
    @kudraahmad6003منذ 4 سنوات Kiukwel maguful sina cha kukulipa ila Mimi nipo kwenye folen kuanzia Leo kukupigia kura ,namuomba mungu upate asilimia mia ya kura 2020 mwezi wa kumi 33
  • @
    @deborahgodda7052منذ 4 سنوات Waaambie baba yetu wanaokuzarau wataumbuka sana 30
  • @
    @peterjohn1969منذ 4 سنوات Nina kushukulu MUNGU ulie ziumba mbingu na nchi navyote umezihi lisha unama kusudi nanchi ya Tanzania pia asante kwa kutupatia raisi mzuri sana tunampenda kweli 19
  • @
    @florianmangasini1269منذ 4 سنوات Mungu akubariki sana Rais wangu natamani ungeendelea kutuongoza hadi tukae sawa. 4
  • @
    @nancykemunto2899منذ 4 سنوات Raisi mpenda watu wake, mm nimekenya lakini nakupenda Sana Raisi Wa wayonge 27
  • @
    @luluamri370منذ 4 سنوات Kenyatta njoo umuone mwanaume akiwa kazini 63
  • @
    @tinyaanosiatha1118منذ 4 سنوات Simba wa Afrca jpm hongera kwa ujasiri ulinao mungu. Akulide . 5
  • @
    @husseinmkakile9206منذ 4 سنوات nani kafurahi kumuona dereva wa RAISI. kama mimi??. gonga like hapa 35
  • @
    @japhetpeter1692منذ 4 سنوات yule wa kwanza kuongea hana kitu ila anariria amani : asante mungu kwa kutupa kiongozi bora 23
  • @
    @brunompolle1404منذ 4 سنوات Mungu akubariki Sana jpm kwakua wewe ni jaguo la mungu so kwauwezo wetu 5
  • @
    @saidrusuma8523منذ 4 سنوات Jemedali wa Africa,
    Rais John Pombe Joseph Magufuri!.
    14
  • @
    @nyanda427منذ 4 سنوات God bless you Mr President Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Tanzania tunaweza 20
  • @
    @halidnangeda1512منذ 4 سنوات Hakika magufuli ni jembe chapa kazi baba 2020 October unapita asubuhi peupeeeeeeee.
    Ccm oyeeee
    16
  • @
    @sekiondowarema1786منذ 4 سنوات Mwenyezi ibariki Tanzania,ibariki Africa mashariki ibariki Africa.
    Raisi Magufuli n jembe kwelikweli.
    4
  • @
    @tonymalando9872منذ 4 سنوات Hili kamanda linatisha haliogopi hata korona 50
  • @
    @abdallagakweli6366منذ 4 سنوات Yaani mm ni mkenya lkn cna time ya kuangalia rahisi wa Kenya akifanya mikutano yke isiyosomeka lkn kwa rahisi maghufuli wallah huwa ckosi kuangalia mikutano id="hidden12" class="buttons"> yke natamani sana niwe Tz citizen cjui tu wp naanzia lkn nataka kuwa raia wa Tanzania naipenda sana ....وسعت 15
  • @
    @benjaminsimon3715منذ 4 سنوات Hakika wewe ni kiongozi kila ninapokuona ninafarijika kwa uongoziwako uliotukuka ninakupenda sana raisi wangu chapakazi mungu ibariki Tanzania mungu mbariki Magufuli 9
  • @
    @godykenza8286منذ 4 سنوات Duuuh eti namba tatu G.ebanaeeee huyu mtu noma . Master wa kumeza 16
  • @
    @alikhamis6336منذ 4 سنوات Rais Allah akuongoze Kwa hakika unajitahidi na Kwa kweli ni mzalendo wa kweli 5
  • @
    @rukyarukya2230منذ 4 سنوات Allah akuongoze Rais wang katika nafasi yako Tunakuombea san majaribu yakupitie mbali najivunia kuwa na Rais kama huyu Alhamdullah 1
  • @
    @bishopkulwajz209منذ 4 سنوات Chapa kazi Rais wetu tunakupenda na kukuombea afya na maisha marefu. 1
  • @
    @safarikarisa3299منذ 4 سنوات Hongera magu..wewe ndo rais wa maana xna.xio uyu Kenyatta asiye na maana yeyote 25
  • @
    @Queen-te3lzمنذ 4 سنوات mpaka najisikia raha mm jisi raisi alivyo na upendo na wananchi wake 10
  • @
    @salmadalaquimane2364منذ 4 سنوات Wallah mapenz yangu kwako aya semek I really love u Allah akufanyie wepes katka kila jambo lako kipenz chang 1
  • @
    @davidnyaonge2035منذ 4 سنوات Wale wa lockdown siku14 wangeongeza siku 21 tena 14
  • @
    @adamuissuja8126منذ 4 سنوات Adam Ramadhani Issuja Hongera sana mheshimiwa Rais wewe ni Jemedari Wa kweli 2
  • @
    @johnplacid8885منذ 4 سنوات Haya mbowe baba kaja dodoma kama umesikia ukichokozwa sana na wew chokoza kidogo gongalike 4
  • @
    @williamkivuyo8786منذ 4 سنوات HONGERA MHESHIMIWA RAIS KWA BIDII YA KAZI, MAENDELEO YANAONEKANA, 13
  • @
    @emanuelminja4846منذ 4 سنوات Mimi nilienda Singida nilishangaa sana vile palivyopendezeshwa na barabara na kile kituo cha mabasi. Naipongeza sana Serikali .wanasingida Muitunze iyo id="hidden14" class="buttons"> miundombinu msitupe uchafu wala kutupa hata vocha .wafanyabiashara wadogo mufagie maeneo yenu na yanayowazunguka ili pabaki safi kila Muda ....وسعت 5
  • @
    @dadibindinho3743منذ 4 سنوات Na corona imewakoromea wengi huko
    Nakupenda sn rais wangu JPM
    13