المدة الزمنية 26:22

HATA KAMA HUJAAJIRIWA UNAPATA MKOPO WA NYUMBA

439 مشاهدة
0
11
تم نشره في 2021/10/22

Ili kuweza kupata taarifa za kina kuhusiana na mikopo ya nyumba, ungana nasi katika programu hii ya Maisha ni nyumba uweze kupata maelezo ya Meneja Mwandamizi Idara ya Biashara Benki ya Azania anayefafanua zaidi mambo muhimu katika mikopo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8