المدة الزمنية 8:1

LUKUVI AUNGURUMA UTEKELEZAJI WA UJENZI NYUMBA 1000 DODOMA

401 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/06/03

#tanzania #Ikulu ##TunajengaTaifaLetu #Chamwino #Iyumbu #TBCLIVE Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kwamba Shirika la Nyumba hivi sasa linafanya kazi kubwa ya utekelezaji wa ujenzi wa nyumba 1,000 ambazo baadhi yake zitauzwa kwa mtindo tofauti na ilivyokuwa awali kwani zitauzwa zikiwa zimekamilika na mnunuzi atakapokamilisha taratibu za ununuzi atapewa funguo yake. "Ninataka huyu mnunuzi wa nyumba ya NHC siku atakayolipia ndipo akabidhiwe nyumba yake na hati ya kumiliki. Iwe dhambi kwa mwendelezaji yeyote nchini kukaa na hela ya mnunuzi , tunataka nyumba hizi ziwe shamba darasa,"amesema Waziri Lukuvi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1