المدة الزمنية 18:16

ANZA LEO UNAWEZA

13 221 مشاهدة
0
284
تم نشره في 2020/04/02

Anza leo unaweza kuanzisha kitu chochote, au biashara ya aina yoyote na unaweza kuanzisha tabia yoyote ile ya mafanikio katika maisha yako kama jambo la kusoma vitabu na ukafanikiwa kupitia kitabu, inawezekana kabisa. Fuatilia interview hii nikihojiwa na HB TV ambao walipenda kufahamu zaidi nguvu ya usomaji vitabu na inawezekanaje wengine wakaweza kujifunza utamaduni huu wenye manufaa sana katika maisha yetu. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email successpathnetwork@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Unaweza #Kitabu #Vitabu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 52