المدة الزمنية 5:12

MA-DC WASHTUSHWA KUSTAAFU RC MWANRI ALIKUWA MWALIMU KWA ALIONESHA NJIA, ALITUFUNDISHA UTAWALA BORA

بواسطة Millard Ayo
18 465 مشاهدة
0
107
تم نشره في 2020/07/05

Wakuu wa wilaya za Kaliua,Uyui,Nzega na Igunga wamepokea kwa mshtuko taarifa ya kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Tabora Aggrey Mwanri na wameleza namna alivyowasimamia katika utendaji wa kazi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 49
  • @
    @karoneynehemiah3533منذ 4 سنوات Kusanya hawa wote sukuma ndani,man toronto tz will miss you in service. 4
  • @
    @majidimansury3751منذ 4 سنوات safi ukiwa mwema utasifiwa ila ukiwa mmbaya utalaaniwa my Allah mpe maisha marefu ynye afya mkuu hyo 5
  • @
    @bryanfelix1172منذ 4 سنوات Good leader may God give u alot of grace I promise you will be promoted to high level especially in pccb sector 3
  • @
    @juliejaphet2700منذ 4 سنوات Hilo jembe lazima lipatiwe shughuli za kufanya halitakaa bure bado sn . 5
  • @
    @SM-fu1yvمنذ 4 سنوات Naomba mweshimiwa rais ampe huyu mzee cheo kingine mimi binafsi huwa namfatilia sana speech zake mzee agrey 4
  • @
    @zuberigwakula8531منذ 4 سنوات Nani hajapenda kustaafu kwa Mwanri kama mimi 34
  • @
    @francisrukeisa6299منذ 4 سنوات Huyo mzee ingawa sijakutana naye ana kwa ana lakini nimefuatilia utendaji wake wa kazi ni makini.
    Naomba serikali imwangalie kama hupo uwezekano naomba mweshimiwa Rais amwongezee hata miaka mitano.
    5
  • @
    @charlesfrolence1983منذ 4 سنوات dah tutammic saana mzee wetu MWANRI anyway kila la kheri kwa mzee uyoo 1
  • @
    @mustafahassan8286منذ 4 سنوات Mkoa wa tabora sio tu walipata mkuu wa mkoa pia walipata Rafiki mungu amuongoze mzee katika maisha yake 2
  • @
    @christinamichaeel9713منذ 4 سنوات Dah naskitika sana mkuu wa mkoa wangu kustaafu
  • @
    @wahidkombokhamis4330منذ 4 سنوات Tujifunze kupitia mzee wetu Mwanri,aliishi na watu vizuri na hakuweka mbele uchama bali maendeleo, tujifunze kuwekeza pia kwa binaadam wenzetu kwa kuwatendea mema 1
  • @
    @MrCosmas15منذ 4 سنوات Mzumbeor Udsm, mpeni Mwanri PhD ya falsafa ya uongozi kutoka na weledi na mchango wake mkubwa kwa Taifa kama mnavyotoa kwa marais, anasatahili kabisa heshima id="hidden3" class="buttons"> hiyo. Kwa kweli tumefurahia uongozi wako. Tunakutakia maisha marefu Dr Mwanri ....وسعت 7
  • @
    @rassimbaengswahili6191منذ 4 سنوات Namimi binafsi nimesikitishwa Sana na taatifa za kujiuzulu kwake, nilimpenda Sana tena Sana mkuu huyu. Ni mcheshi, mahiri ktk kazi na mfuatiliaji, hakika alikua Jemedari ktk majukumu ya ukuu wa mkoa 1
  • @
    @husseinkatuga414منذ 4 سنوات Tutakumis sana mkuu wetu wa mkoa wa tabora
  • @
    @abbyadams8691منذ 4 سنوات Mi nilimpenda alivyokuwa mpenda mazingira.Alisimamia sana kuifanya Tabora kuwa ya kijani. Naomba Magufuli amchague kuwa Waziri wa Mazingira. 1
  • @
    @simongalahenga6858منذ 4 سنوات Hakika hata Mimi nitamis San ingawaj hakuwa kiongoz wangu
  • @
    @kekiplus1andonlyمنذ 4 سنوات Huyo mzee tayari ana cheo.chake awamu ijayo.kwaiyo lazima astaafu kwa muda 7
  • @
    @benedictodaniel323منذ 4 سنوات Jamani Mh Rais mpatie kazi yoyote Huyo mzee Nimchapakazi usimwache akae nyumban tu ,
  • @
    @saidbabu9198منذ 4 سنوات Mweshimiwa Rais kweli aongee na mzee wa Toronto, agombee ubunge popote pale atapita tu vijana bado wanamuhitaji. Soma hiyo tutapigwa mkenge, kweli ulitufurahisha sana.
  • @
    @prophetfaithmasimbani8742منذ 4 سنوات Ijapo kuwa naishi mbeya. Toronto sijafika .lakini nilipenda kumsikiliza MZEE wa sukuma ndani!!!!!. Nami kwa kweli nitammis .MZEE karibu mbeya
  • @
    @saidimazengo9934منذ 4 سنوات Huyu mzee alifanya kazi kwa Niaba ya wazee ,na aliwainua wazee kuonesha kwamba uzee sio uzembe 1
  • @
    @mathayodundo5433منذ 4 سنوات Agombee jimbo lakawe njia zamitaa hazipitiki 1
  • @
    @ilynpayne7491منذ 4 سنوات Nime chukia sana kuona huyu mzee MWANRI ame staafu 1
  • @
    @ayoubabdull1265منذ 4 سنوات Kama nyie ndio wanafunz wake kwa nin nyie msifany kaz kama yey .pumbav san .gar zipo dereva yupo tatizo lenu nin msiende maeneo husika kama yey .pumbav.. 1
  • @
    @MrCosmas15منذ 4 سنوات Mzumbeor Udsm, mpeni Mwanri PhD ya falsafa ya uongozi kutoka na weledi na mchango wake mkubwa kwa Taifa kama mnavyotoa kwa marais, anasatahili kabisa heshima id="hidden9" class="buttons"> hiyo. Kwa kweli tumefurahia uongozi wako. Tunakutakia maisha marefu Dr Mwanri ....وسعت 7