المدة الزمنية 15:27

KUVISHWA VYEO NA KUAPISHWA KWA WAKUU WA IDARA MAALUM ZA SMZ

بواسطة OR-TMSMIM ZANZIBAR
4 069 مشاهدة
0
18
تم نشره في 2021/04/25

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi Amewavisha vyeo na kuwaapisha Wakuu wa Idara Maalum za SMZ. Ghafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Zanzibar. Waliovishwa vyeo na kuapishwa ni Commodore Azan Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) , Mwengine ni Kanali Makame Abdalla Daima kuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKUZ), Pia Kamishna Mzee Rashid Abdalla ameapishwa kuwa Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar, na wa mwisho ni Kamishna Khamis Bakar Khamis ameapishwa kuwa Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2