المدة الزمنية 5:4

FURAHA YA WEMA SEPETU YAONGEZEKA BAADA YA KUPATA MIMBA AFURAHIA NA MARAFIKI ZAKE

بواسطة Nyingo Media
9 895 مشاهدة
0
85
تم نشره في 2021/12/11

#WEMASEPETU FURAHA YA WEMA SEPETU YAONGEZEKA BAADA YA KUPATA MIMBA AFURAHIA NA MARAFIKI ZAKE MASIKINI WEMA SEPETU UGONJWA WA AJABU UNAMSUMBUA AJUTA KUKATA UTUMBO MIMBA YA WEMA SEPETU YAONEKANA HAKUNA SIRI TENA BABA WA MTOTO ATAJWA MIMBA YAMTULIZA WEMA SEPETU SITAKI UGOMVI NA MTU WANANICHOKOZA NIMEKUA FAHYVANNY KUMZALIA RAYVANNY MTOTO WA PILI VIDEO HI YAZUA UTATA MJAMZITO WANALALA KITANDA KIMOJA Mrembo Wema Sepetu amekuwa ni mtu ambaye sikuhizi amepoa sana na kuwa mkimya kiasi ambacho kinawafanya wengi kuamini kabisa kuwa story za ujauzito ndizo zinazomfanya kukaa zake kimya na mrembo huyo pia ameonekana kuwa ni mtu ambaye hataki kabisa tatizo na warembo wengine kwa kutangaza kuwa kwasasa amekuwa na haitaji mambo ya kuwa na ugomvi na baadhi ya watu nadhani tuliweza ona vile ambavyo mrembo huyu alivyoweka sawa ishu yake pamoja na mrembo Hamisa Mobetto na kuondoa tofauti zao. Lakini kikubwa ndio hivyo tunaambiwa kuwa mrembo huyo amebadili muelekeo wa maisha yake hadi kufikia hapo kwasababu ya kile ambacho kinasemwa kuwa mdada huyu ana ujauzito, na ndiomaana mara nyingi amekuwa ni mtu ambaye hataki kabisa matatizo na watu wengine. Na vile vile hili jambo limeonekana kuwa nikweli kwa kiasi fulani maanamrembo huyu mara kadhaa ameonekana akiwa na baadhi ya marafiki ambao wengone tunaambiwa kuwa aliwahi kugombana nao lakini kwasasa amepatana nao na yote tunaambiwa ni sababu ya Huo ujauzito ambao inadaiwa kwamba mrembo huyo yuko nao. Kupitia kwenye insta story yake Wema Sepetu ameweza kupost video ambazo zinamuonyesha akiwa katika maeneo ya kujidai na marafiki zake wa muda mrefu mno huku wakionekana kuwa ni watu wenye furaha isiyo na kipimo kitendo ambacho kinazidi kuwavutia zaidi mashabiki zake na wengine kusema kwamba kweli sasa Wema amekuwa na kama mimba ndio inampeleka hivi basi imemjia vizuri maana kuna wengine ambao wakipataga mimba huwa wanakuwa na kiisirani lakini kwa Wema vitu vimeonekana kuwa kinyume kabisa #juakaliseries #JEJE #rayvanny #theswitch #wasafimedia #harmonize #soudybrown #shilawadu #zuchu #wasafifm #kondemusicworldwide #alikiba #cloudstv #wasafitv #bongo5updates #KingKiba #swahilination #nandy#diamondplatnumz#millardayo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14