المدة الزمنية 21:14

ELIMU YA NYOTA: FAHAMU Kundi La NYOTA YAKO | PART 2

بواسطة Global TV Online
455 471 مشاهدة
0
3.2 K
تم نشره في 2019/08/31

ELIMU YA NYOTA: FAHAMU Kundi La NYOTA YAKO | PART 2 Leo tunamalizia elimu ya nyota ili tuingie kwenye elimu ya ndoto!  Kama unaswali tafadhali mpigie Shafii mwenyewe kwa +255 692 007 575 au mcheki instagram kwa don_shafineyz, ukinipigia mie ntakupiga sound tu, hivyo tusichoshane! Nyota ya kwanza tayari. Nyota ya pili ni Ng'ombe! Nyota hii bwana asili yake ni udongo. Sifa kubwa ya watu wenye nyota hii ni wakimya lakini jeuri kweli, wapole lakini wasikivu, hawana haraka lakini ni makini na waangalifu, wabishi na wasiopenda kushindwa, wapenda usawa lakini waogopa wa mabadiliko, wanamisimamo mikali, tunawaita concervative. Wanapenda vitu vya thamani. Wao ndoa ni muhimu sana kuliko mchepuko. Ndo wale mabinti ukiwatokea wanakuuliza utanion au unataka kunichezea tu? Ni waaminifu sana ndo maana wanawivu. #elimuyanyota /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2j

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 488