المدة الزمنية 8:52

Kuondoa Makunyanzi usoni na chunusi na ngozi kuwa laini na nyororo na mask ya chia seeds.

بواسطة Bariki Karoli
3 808 مشاهدة
0
92
تم نشره في 2020/06/16

Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine Leo nimefanya mask ya chia seeds ( bengu za chia) Ambayo ni nzuri sana inasaidia ngozi kuwa laini na Nyororo. Video ya faida za chia seeds 👇🏽 /watch/kt-itNMdTtrdi Video ya mafuta ya aloevera 👇🏽 /watch/wDigJIXaoX_ag

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 66