MFANYAKAZI wa MOCHWARI Afunguka - "WATU WANATAKA MAJI YA MAITI, HUWA TUNAWACHAPA BAKORA!"
MFANYAKAZI wa nyumba ya Kuhifadhia Marehemu Katika Hosptali Ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha ameleza changamoto aliyoipitia wakati wa wimbi kubwa la taharuki ya ugonjwa wa Corona Ulivyoingia Nchini na changamoto zingine tangu ameanza kuhudumu kwa miaka 18 iliyopita.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
@RuzoOwzyمنذ 3 سنواتMtangazaji na Rasta wote wapo vizuri. Maswali yote tunayojiulizaga kuhusu mochwari, kama yamejibiwa. Labda moja la namna gani alizoea hiyo kazi, coz mwanzoni nahisi nae alikuwa anaogopa. 25
@
@ruthshoo4377منذ 3 سنواتYaani huyu kaka ni jasiri mnoo na huduma yake ni nzuri Mungu aendelee kumlinda. 33
@
@abdulparesh4899منذ 3 سنواتMtangazaji unauliza maswali vzr Sana babu big up Sana 42
@
@ukhutfatumah1154منذ 3 سنواتNimejitadi kusikiliza mbk mwisho lakin alhamdulillah nimejalibu kusikiluza kwa makin ili niulize lakin yote yameulizwa na kujibu respect mtangazi much love From UAE 3
@kuschprince3216منذ 3 سنواتpresenter na mhojiwa mko"NOMA"ile mbaya!!! This is what we call jounarlism; keep it up bro watching from europe. 9
@
@pichunakichuna2111منذ 3 سنواتNimempenda rasta ako sawa sana mugu akubariki sana ❤️ 4
@
@khadijahomankweliyamjahaya7421منذ 3 سنواتSafi sana kaka unamsimamo na kazi yako una hofu ya mungu maan haya maji kweli wapeni bakola aseee imani chafu 5
@
@michaeledward478منذ 3 سنواتKaka nice sana mungu akulinde na akusaidie
@
@heritier5119منذ 3 سنواتMwanadamu asiye na akili umuua mwanadamu mwenzake hali nae ni marehemu mtarajiwa 37
@
@trizahwanjiru4978منذ 2 سنواتYaongopesha jamani ,ewow Mungu wangu umetupea talanta nyingi i say
@
@RUFUS_97منذ 3 سنواتmtangazaji upo vizuri sana sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. 1
@
@sakinaramzu2878منذ 3 سنواتUnakaz nzuri na roho mzuri sana rasta mungu akutunze 9
@
@moshimgaza5642منذ 3 سنواتMungu akulipe. Watandikeni wakome mungu atakulipa kwa hilo 1
@
@mamachris6811منذ 3 سنواتRasta ni Imani,dred ni mtindo wa nywele 19
@
@pizohunter7703منذ 3 سنواتJiran mwenye huduma kubwa kwa jamii pamoja sn brother mwenyez mungu akutunze sn kaka
@
@charlesmollel1845منذ 3 سنواتMtangazaji. Wew n shujaa. Mbunifu.. utafika mbal sana 1
@
@captinadams284منذ 3 سنواتHuyu Rasta ako very mature and I love his courage. 1
@
@yusuphjonathan2970منذ 3 سنواتHii kaz naipenda Sana Ila sijapata nafax ya kaz Kama kunakaz munambie wadau
@
@veronkanini3556منذ 3 سنواتHuyo mzee nimempenda aki mungu akumpe maisha marefu
@
@ahmadkasika7114منذ 3 سنواتJAMAA NIMEKUELEWA MSTARI WA MWISHO, TUWAJALI NDUGU ZETU WAKIWA HAI, SIO MTU KAFA NDIO MNAMJALI HAINA MAANA YOYOTE 20
@
@hassandalida7506منذ 3 سنواتHongera sana ni mara yakwanza kumsikiya mtangazaji muzuri kama wewe
@
@shannelika718منذ 3 سنواتMtangazaji ametisha sana maswali mazuri mno 8
@
@fatmabhai2812منذ 2 سنواتMna wazimu hamna maadili.. maiti wa kike hawezi kukoshwa na mwanamme. Kidini khaswa kiislam hairuhusiwi. hao wengine sielewi .hata iyo kuzalishwa pia id="hidden4" class="buttons"> kidini mjamzito azalishwe na doctor mwanamke namshkuru Allah kuniumba muislamu na kufata maagizo ya dini yangu ALHAMDULILAH ....وسعت
@
@wallesmdoe9164العام الماضيRas yupo vzr sana anavyojibu maswar siopw
@
@elizabethisrael4256منذ 3 سنواتYou can not be normal .No! Hela wanaoroa wanaotaka hayo maji ni mengi lazima umuogope tu Mungu ndio ikatae
@
@beproudofyourself.3876منذ 3 سنواتMtangazaji auliza maswali vizuri mkono ukiwa juu ya jeneza mm siwezi kweli 1
@
@jayjay4313منذ 3 سنواتDa, mtaua wachawi wa watu rasta mjue lo, sio kwa huduma hiyo ya mzigo wa bakora. Bora mngewalaza pembeni ya maiti ili uchawi uwatoke. Cheka class="buttons">sana leo, bakora tu babake Da, Mtangazaji nimekukubali, point juu ya swali, haemi mtu, na wala halipotei bando huku. ✌ ....وسعت12
@
@thegreat.9869منذ 3 سنواتHahahaaaaa. rasta anajibu simpo sana jamani
@
@neemaatanasi3498منذ 3 سنواتMaswali yapo vizuri na majibu pia yapo vizuri kiufupi mpo vizuri 5
@
@avitusmichael5منذ 3 سنواتNakukubali mwamba, unajiamini sana asee 1
@
@J4UProمنذ 3 سنواتNajivunia kuwa muislamu Maiti wa jinsia ya kike huoshwa na wanawake na wanaume huoshwa na wanaume. 26
@
@aloycerobert2802منذ 3 سنواتWeacha tu namkumbuka jamaa yang aliye niandalia Baba yang mzazi ase wako vzr sana 1
@
@petroniammasi6999منذ 3 سنواتNimemkubal sana Rasta hata Mtangazaji yuko vizuri
@
@bitesimon679منذ 2 سنواتRasta Ana point interview ilikuwa nzr , mjali mtu akiwa hai
@
@filbertnashon7160منذ 3 سنواتSasa maji ya Maiti wanapelka wapi?? Aise ebo
@
@mussataliye7815منذ 3 سنواتMaswal yenye akil na majibu yenye kueleweka 4
@
@akinandrea3911منذ 3 سنواتSafi sana! Maswali na majibu mafupi yaliyonyooka.
@
@linetnekesa8019منذ 3 سنواتUna ujasiri Kaka mm hAta kupitia hAta karibu na kaburi nyakati za usiku siwez sembuze Mauro balahaaa 1
@
@salimalaquimane2640منذ 3 سنواتAlhamdulillillah kua muislam maana ni lazima ni wanistir wanawake wenzang 15
@
@ibrahmanoma4179منذ 3 سنواتMtangazaji yupo poa kwa maswali na jamaa anayejibu Yuko poa kwa kujibu maswali. 2
@
@shadiamuwadhi8717منذ 3 سنواتNi kwanini mtu umupeleke ndugu yako kwenda kuonya na waitu wasio muhusu kwanini tusiwakoshe sisi ndugu kwahiyo inamaana gani dah naomba mungu kama Niko id="hidden6" class="buttons"> karibu na ndugu zangu wanikoshe wao sio wanipeleke huko dah wakinipeke wameninyanyapa ....وسعت
@
@mamadestiny8467منذ 3 سنواتHahaaaa heti bakora safiii chapa na msiwape
@
@saidswalehe2907منذ 3 سنواتWakristo hamna kitu kabisa yan Mwanaume anamuosha mait mwanamke daaaaaah
@
@jothamekisouke3374منذ 3 سنواتBaadhi ya vtuo vya afya huwa inatokea hyo 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MFANYAKAZI wa MOCHWARI Afunguka - WATU WANATAKA MAJI YA MAITI, HUWA TUNAWACHAPA BAKORA:
Labda moja la namna gani alizoea hiyo kazi, coz mwanzoni nahisi nae alikuwa anaogopa. 25
TUWAJALI NDUGU ZETU WAKIWA HAI, SIO MTU KAFA NDIO MNAMJALI HAINA MAANA YOYOTE 20
Maiti wa jinsia ya kike huoshwa na wanawake na wanaume huoshwa na wanaume. 26