المدة الزمنية 1:45:35

SINGLE MAMA KUNA UJUMBE WENU HUKU USIACHE KUTAZAMA | Bongo Movie

بواسطة Kings of Bongo
4 125 مشاهدة
0
41
تم نشره في 2022/01/08

Mama hata kama uligombana na baba yangu ukiwa na mimba yangu fahamu ya kuwa nina haki ya kumfahamu baba yangu nami nipate malezi ya pande mbili kwani mimi ni damu yake ni mifupa toka katika mifupa yake, Mama mimi Meliana ni mwanao kwanini unanichukia kisa namtaka baba yangu jamani. Mama umefikia maamuzi ya kujiua kisa kunionyesha baba fahamu ilikuwa ni haki yangu. Mom even if you were not in good term with my dad during my pregnancy just know I have rights to to know who my father is so that I can be raised with both of you, because i am carrying his blood in my veins. Mom, why do you put so much hatred on me because of asking for my father? Tunapatikana kwenye mitandoa ya kijamii kama vile: https://www.instagram.com/kingsofbongo https://www.facebook.com/kingsofrealbongo https://twitter.com/kingsofbongo #YouTubeSwahiliMovie #SwahiliFullMovie2022 #LatestSwahiliMovie2021 #kingsofbongo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1