Mau Mpemba akifanya unganga wa asili.
Kuhusu sisi:
ZMOTION STUDIOS inajihusisha na utengenezaji wa filamu za kiswahili, matangazo, na video fupi za vichekesho na vituko mbali mbali. Ukijiunga na chanali yetu kwa kubonyeza 'Subscribe' utakua miongoni mwa wanaopokea ujumbe wa barua pepe kila tunapoweka video mpya, pia utapata fursa ya kujishindia zawadi ya mwaka ukiwa utakua mfatiliaji mzuri unae 'share', 'like' na kukoment katika video zetu.
Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi
http://facebook.com/zmotionstudios
-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "MAKAME NUHUSI ANAHONGA KIWANJA ZANZIBAR (FUMANIZI)"
/watch/gQXSp186wpF6S
-~-~~-~~~-~~-~-
@Asiliمنذ 5 سنواتHichi ni kipande cha filamu 'Fimbo ya Ngomani' inayosimulia historia ya kweli iliowahi kutokea , sio video ya tukio lenyewe kweli! Imani za wandaaji id="hidden1" class="buttons"> wa filamu hii zipo kutokana na mtu mwenyewe, imani zao huwezi kufananisha na kazi hii, kila mmoja na misimamo yake juu ya matukio kama haya.Asanteni. ....وسعت1
@
@ALIMOHD-bk9lrمنذ 4 سنواتGabo the Gamba nakukubali Sana especially ktk filamu pale unapojishusha keep it up mazee☑️ 1
@
@muhammadhossen1306منذ 6 سنواتKweli Nimekumbuka Mbali Sanaaaaa Mta Wa Homu kwetu
@
@fundiali6457منذ 6 سنواتhiyo ngoma tamu sana ikipigwa km unajijua una mizuka usikae Karibu nenda mbali unaweza ukaja kujikuta ushaingia unacheza tu mana hiyo zumari ndio kila kitu na ngoma majini wanapenda sana 2
@
@sadabkari5532منذ 2 سنواتIla mau mpemba kama shetani yupo kichwa ni kweli iv
@
@mzembemakini3532منذ 2 سنواتHiiiii muvi kali San mau lini inaachiwa na icho kizumari hapanlipo najikuta naicheza tyu
@
@khamisabdalla7709منذ 7 سنواتMau ni fundi sana Allah amuweke na amzaidishie kipaji chake 1
@
@adillhabib2006منذ 5 سنواتmau unajini ukindu atongoa ubafiii apenda mvuja mavi, mchapia tumbiri mavi ya nduduuuu 1
@
@mosaidi2633منذ 6 سنواتhii ngoma ni mchezo mbaya na watu wanakaa kutazama tu,,lo!!! 1
@florrybenjamin8805منذ 6 سنواتjmn mm natafta mtaalam wa ukwl hapa tz amjuae anisaidie no plz 1
@
@dashuu5295قبل 11 أشهرJuzz tuu mtaan kwetu tulkuw na pungwa huwa nacheka vjana wakshavuta mabangi ukiplus na ilo zumar na mbwembwe za mganga na shangwe za watazamaj wanajkuta wamechagawa.huwa vtukoo wallah
@
@halimajuma704منذ 7 سنواتhii ngoma nimeipenda ila mau mpemba wewe nibalaa. 1
@
@shambuwamajengo9453منذ 6 سنواتUko wapi huu mchezo mauu naona leo nimekumbuka za kwetu bubwini bwaga 1
@zuheorsalim7759منذ 7 سنواتkumbe hiki kimau kishirikina namba hiiii
@
@omarhamad9489منذ 4 سنواتSasa ss wapemba tusishudie na ndio ulipo anzia huu kwakweli mm siwezi sikiliza hiii zimari maana huuu ni uganga kamili unaweza kupandisha hisia dakika1 ukashindwa kujielewa 1
@
@khamisjuma3841قبل 11 أشهرDah yaani nimekumbuka mbali Miaka ya nyuma ilikua kila mtaa utasikia Tena mara kwa mara . Hii ilisababishwa na wazee Babu zetu kuwatupia majini watu ili id="hidden5" class="buttons"> wasumbuke mana vile vitu vitolewavyo ndio kama chakula cha hayo madudu. Sasa hivi hakuna sana kwani watu walibakia wanatoa watu sana yaani kunyongwa ndio imezidi kupitiliza . ....وسعت
@
@salmasaid7254منذ 7 سنواتhii hatali sas ao. si wanatafuta jini bure hahah 2
@muhammadhossen1306منذ 6 سنواتKila Aliye Tizama Hii Nazani Ashawahi ona Au kufanya Hawezi 2_Kutowa Sababu
@
@shamimasalim6912منذ 5 سنواتNimeshitka nimeona simu yangu imezima kabisa nikasema ndo jini laja kwangu nini mana hii mipungwa naijua watu wa majini hawa subhana Allah 3
@
@brysonuronu5862منذ 5 سنواتYaeza kuitwa asili lkn huo ni ushirikina uganga na utumiaji wa Nguvu za giza.. Mungu pekee ndie wa Kuabudiwa na kumtegemea .(Promotion of witchcraft and ) 2
@albassamjjamali9205منذ 5 سنواتHalafu hii ngoma skuiz haipigwi huku hom alikuwepo mganga mja anaitwa dedi kafa na ushirikina wake ilikua kilamwakaa palikua hapatoshii 2
@brisketkidari1623منذ 8 سنواتda hii niasili ya bumbwini wanaita pungwa.ikipigwa zamani watt wote ndani 5
@
@hajihija5400منذ 6 سنواتhuu ni ushirikina mkubwa sana watu hua wanaomba majini na kuyaridhisha na kuyachinjia ila shirki ni mbaya sana na hukmu yake ukifa bila kutubia motoni moja kwa moja bila mjadala .tuchukuwe tahadhari. 8
@
@suleimanbakar6097منذ 5 سنواتEnzi za watu walipokuwa wakishiba,sio leo mapembe na dagaa