المدة الزمنية 21:13

Tendo la ndoa na Lishe No 1

بواسطة Dr Boaz Mkumbo MD
16 930 مشاهدة
0
171
تم نشره في 2019/02/11

Tizama video hii inayo fundisha mchango wa chakula unachokula na tendo la ndoa. Tendo la ndoa kwako unalitizamaje? Ni ishara ya upendo,upatanisho,haki ya wana ndoa na kama likikosekana au kuwa chini ya kiwango huleta mfarakano kati ya wana ndoa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 15