المدة الزمنية 14:2

KWANINI WATU WANAKUCHUKIA

36 990 مشاهدة
0
693
تم نشره في 2020/07/19

ULISHAWAHI KUJIULIZA, KWANINI WATU WANAKUCHUKIA? . Kila mtu anapata nafasi sawa katika maisha ya kukutana na watu wenye tabia mbalimbali. Na katika hao wapo ambao watatupenda au kutuchukia kutokana na vile ambavyo wanatuelea na kututafsiri. Jambo la uhakika kabisa ni kwamba kila kitu huwa kina matokeo yake kwahiyo kama watatupenda mateokeo yatakuwa mazuri na wasipotupenda basi matokeo yatakuwa mabaya katika aina ya mahusiano tutakayokuwa nayo na watu hao. . Moja ya faida za kuifahamu saikolojia ya mwanadamu ni kwamba inatuwezesha kuyapunguza maumivu makali ya maisha angalau. Kwa mfano ukifahamu tu kwanini watu wasionipenda hawanipendi basi utajua kwa namna fulani kucheza nao au hata kujua namna ya kuwafanya nao wakupende pia, usisahau kujitambua ndio mlango wa kupata unachotaka toka wengi wanaokuzunguka kama ukitumika vizuri. . Nalifurahia sana somo hili sababu ni kubwa na lina mengi sana ndani yake, karibu utazame, mshirikishe na mwingine tafadhali. Asante sana. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Kwanini #Watu #wanakuchukia

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 115