المدة الزمنية 7:36

Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba unateswa na hofu ya kuachwa

بواسطة Chris Mauki
16 178 مشاهدة
0
285
تم نشره في 2021/05/08

Kuna watu ambao wapo kwenye mahusiano au ndoa ila wanasumbuliwa na tatizo la hofu au kiwewe cha kuhofia kuachwa. Ndani yao wanajihisi kama wanaweza kuachwa muda wowote ule. Hofu hii inapozidi inaweza kukufanya ukawa na tabia za ajabu halafu tabia hizo zikakupelekea kuachwa kweli. Nifuatilie hapa nikupe somo jipya la DALILI 5 KWAMBA UNATESWA NA HOFU YA KUACHWA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 70