المدة الزمنية 1:41

Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp. (Android)

بواسطة Tz Eleven
4 132 مشاهدة
0
21
تم نشره في 2017/08/16

Kawaida ya apps nyingi tunazotumia kwenye simu zetu zinakawaida ya kuacha baadhi ya taarifa ambazo hatupendi zibaki au zionekane kwenye simu zetu. Kama whatsapp kwa kawaida mtu anaweza kufuta picha halisi aliyopiga kwenye simu yake, na pia akafuta picha ambayo ameituma kwenye ujumbe, Lakini bado picha hiyo inabaki kwenye mafaili ya app ya whatsapp. Kwahiyo kuwa makini na baadhi ya apps ambazo unazitumia kwa mambo binafsi. __________________________________________ Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android) /watch/gZg_8rwhV5ph_ Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android) /watch/MoamVZbOTufOm Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS) /watch/IX9f-sCEwrlEf Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android) /watch/oaezN_mbuQubz Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android) /watch/cvsznFaipzwiz Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android) /watch/UVt8hIhOwKhO8 Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android /watch/0_k68dy2hs026 Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android) /watch/8qH2GKoO6uIO2 Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android) /watch/Q9PY2_bgcOAgY Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android) /watch/0zaE_JkDjrzDE __________________________________________ Usisahau Ku-Subscribe, Ku-Like na Ku-Share. Ili kupata video nzuri Zaidi!!!! Jiunge Nasi Kupitia ;- Instagram. https://www.instagram.com/tz_eleven/ Facebook. https://www.facebook.com/tz.eleve.7 Twitter... https://twitter.com/tz_eleven Google+. https://plus.google.com/u/0/116831554687795900396 Youtube. /channel/UCLfQ5xzIdIdyvi9rmlJhjNA/about #tzeleven

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1