المدة الزمنية 12:31

HUU HAPA MCHONGO KWA WANAOTAMANI KUSOMA NJE YA NCHI

بواسطة GSengo
1 103 مشاهدة
0
11
تم نشره في 2021/08/12

Wengi hudhani ili mtu apate scholarships au nafasi ya kwenda kusoama nje ya nchi kwa mataifa kama Marekani, Ufaransa, Ubelgiji, Urusi, India na maeneo mengine ina kulazimu kuwa na fedha nyingi za mamilioni kwa mamilioni, lakini hivi unajua ukiwa na mtaji wa fedha kuanzia milioni mbili unaweza kwenda kusoma nchi yoyote unayotamani? Ili kurahisisha upatikanaji na namna ya kujiunga na vyuo mbalimbali ulimwenguni Global link imeandaa orodha ya vyuo ambamo kuna fursa za kujiunga na masomo ya juu kwa wanafunzi kimataifa ndani ya nchi na nje ya nchi. Fuatilia mazungumzo haya kuzitambua fursa hizo na namna ya kuzifanyia kazi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3